Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 564
Habari Wadau!,
Jana Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Inmi K. Patterson na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu katika kampeni ya maadhimisho ya miaka 15 ya ubia kati ya Marekani na Tanzania katika kupambana na janga la VVU/UKIMWI chini ya Mpango wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI (PEPFAR) Walionyesha kifaa cha kujipima VVU/UKIMWI mwenyewe nyumbani kwa kutumia Mate...kifaa cha OraQuick ( Alichokishika Waziri Ummy Pichani) ambacho kitazinduliwa na Waziri Mkuu Majaliwa Dodoma hivi karibuni.
Swahi ni je?...Wataalamu hutuambia kuwa huwezi kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kupitia busu at Wet Kiss (Denda) labda kwa asilimia ndogo iwapo mna michubuko/Vidonda mdomoni, Sasa hii ya kupima Maambukizi kupitia mdomo (Mate) iweje uweze kugundulika na Virusi kwa njia hii hususani kama hatuna Michubuko, au ni mimi sijaelewa?