Huenda ukawa na mwenendo mzuri lakini kuna salon n.k.kama mwenendo wako mzuri sidhani kama kuna haja ya hofu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwa na ukimwi unakuwa Na mate ya kijani
Mambo mengine tunajitafutiaga tu... Huumwi unaenda kupima nini sasa... Mtu asubiri akiona dalili ndio aende akapime...........Nakwanini ujipime wakati huumwi?utakuwa unatafuta nini?
Subiri mpaka ukianza kuumwa ndo utakapopimwa mbele kwa mbele maana ukimwi siyo malaria hii ni kitu ya hatari sana hutakiwi hata nafsini mwako kuihisi unao sembuse kujua!
Baada ya hapo atafute pa kwenda, ima ninao au sina.Jipime tu boss, ndio wife amekukomalia umekataa anasubiri tu ulale akuwekee kipimo mdomoni...unaamka na majibu yako mezani tehe tehe.