haya mambo ya kunyonyana na kulambana lambana vinahitaji usafi wa hali ya juu na uaminifu mkubwa vinginevyo miili yetu midomo yetu imejaa magonjwa mengi sana na mnyonyaji ama mlambaji anaweza kujizolea magonjwa mengi ambayo anaweza kuyaona kwa haraka au akaja kuyaona badae.
wengine hata midomo kusafishwa ni shida we unaparamia mabusu ya ndimi ni yaleyale kama ya kule chini tu.
tuwe waaminifu na wasafi saa zote.
kuoga vizuri kila siku haswa kabla ya matendo hayo ni jambo jema. na kusafisha mdomo kwa usahihi kutasaidia