T The Infamous JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 731 Reaction score 121 Oct 9, 2012 #1 doctors napenda kuelimishwa, inakuwaje mama anayenyonyesha haingii kwenye siku zake(bleed) lakini akifanya mapenzi anapata ujauzito? sayansi ya ujauzito inasemaje doctors?
doctors napenda kuelimishwa, inakuwaje mama anayenyonyesha haingii kwenye siku zake(bleed) lakini akifanya mapenzi anapata ujauzito? sayansi ya ujauzito inasemaje doctors?