fukutoz
Member
- May 3, 2018
- 10
- 13
Wakuu habari,
Naomba msaada,
Kuna dada yangu amejifungua wiki iliyopita
lakini mtoto mguu wake umepinda ya kwamba pindi akianza kutembea atakuwa anakanyagia kwenye kifundo kwa pembeni.
Naomba msaada wa kunijulisha dokta au hospitali gani itafaa kwa kutatua tatizo hili.