Poleni mkuu, ngoja wataalamu waje kutoa maelekezoWakuu habari
Naomba msaada....kuna Dada yangu amejifungua wiki iliyopita
Lkn mtoto mguu wake umepinda ya kwamba pindi akianza kutembea atakuwa anakanyagia kwenye kifundo kwa pembeni
Naomba msaada wa kunijulisha DOCTOR au HOSPITAL GANI itafaa kwa kutatua tatizo hili
Sasa si mumnyooshe tu?samaki mkunje angali mbichi.hujaeleweka mkuu unaelekeza au unalaumu
Wakunga wamemvunja mguu, hata wa kwangu walimfanya hivyo mguu wakushoto, mpeleke Mujimbili pale maternity kama kweli ana wiki moja, watampokea watanyoosha kaguu hako hadi katakuwa sawa,Wakuu habari,
Naomba msaada,
Kuna dada yangu amejifungua wiki iliyopita
lakini mtoto mguu wake umepinda ya kwamba pindi akianza kutembea atakuwa anakanyagia kwenye kifundo kwa pembeni.
Naomba msaada wa kunijulisha dokta au hospitali gani itafaa kwa kutatua tatizo hili.