ipo sawa mzee wala usijaliHeading niweke vipi mkuu
Vijana wa sikuhizi haooo.Waliotengeza kama zilivyo hawakushindwa 'kuzinyonya' walikuwa na maana na vipimo vyao vya kiusalama.
Naamini ukitaka rim ya design hiyo unayotaka ku modify utapata special kabisa zilizotengenezwa kwa viwango.
Usitafute kufa kizembe kwa ajali kwa kutaka kuiga mambo yasiyokuwa na tija yeyote.
Nina hakika ukiulizwa sasa hivi sababu za kutaka kufanya hivyo utasema umeona kwenye movie au wenzio mtaani.
Niamini mimi hao wa kwenye movie za nje hizo zao zilitengenezwa maalum, hazikufanyiwa modification. Hao wa mitaani wengi wao ndio kama wewe wanaelekea kujidhuru kwa kuiga wasivyovijua.
Hasa akizingatia makorongo ya barabara zetu TZ.Yaani unaenda kufanyeje?
Kama unataka kununua rims izo zenye "offset" unatakiwa ununue rim mpya, tyre mpya, na kuja uwezekano hadi ukanunua suspension set mpya.
Una gari gani? Nunua tu rims mpya kama unataka muonekano mzuri. Ila Sports rims zenye low profile tyres kuendesha sio starehe ni mateso.
Nashauri ungeacha tu tyres izo izo.
Ukute kaandika sredi rim zikiwa kwa fundi tayari kufanyiwa mautundušSreedi closidi,kijana majibu haya yanakutosha