figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mama Mkwe fafanua kidogo. Juzi tumepishana wala hukunitambua japo nilikupa hi... 🤣🤣🤣Sasa huyo anayenyonya maziwa hayo atakuwa je.
Dawa ya kufanya maziwa yatoke ni supu au uji wa lishe mtori nk.
Duniani kuna mambo
Acha hizo mkwe, mie sijaiona lami huu mwaka wa ngapi sijui vile.Mama Mkwe fafanua kidogo. Juzi tumepishana wala hukunitambua japo nilikupa hi... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mamndenyinakuzimia@yahoo.com
Mbeya nimekata kamba. Mawazo yangu ni Tanga na Kilimanjaro. Naomba mawazo ya kihenga kuhusu hii mada.Acha hizo mkwe, mie sijaiona lami huu mwaka wa ngapi sijui vile.
Ni vile tu hukutaka kunipa mrejesho wa yule chalii wa mbeya kule, je kesi imefikia wapi.
Umeona kwa kukisia. Sidhani kama mama Mtilie wanao chai nzito kama hii. Mama Ntilie wa wapi?Chai ya bangi[emoji848][emoji848]
Hiyo umekunywa zako Kwa mama ntilie umaweza jikuta umevaa sufuria kichwani km kapelo alafu unasema unajisitiri na jua Kali
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Duh.....Salaam Wakuu,
Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke.
Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai.
Wachagga Wanaweka kwenye Mtori.
Ni kweli maziwa yanatoka, je haina madhara?
Kuna utafiti wowote umefanyika kuhusu chai hii?
Je, kuna elimu inatolewa huko kiliniki ya Mama na Mtoto? Nasikia sikuhizi na wanaume wanatakiwa kwenda.
Je, Mtu akipack majani ya mumea huo kwaajili ya kuwasaidia Wazazi wanaonyonyesha ni kosa?
Asante
View attachment 2020737
View attachment 2020739
Akikuambia ni mama ntilie wa wapi unitag ili na Mimi nikajipatie chai nzito...!!!Umeona kwa kukisia. Sidhani kama mama Mtilie wanao chai nzito kama hii. Mama Ntilie wa wapi?
Inapatikana wapii?Chai ya bangi aina ya cannabis sativa( also called marijuana) inasaidia kuondoa stress, kukosa usingizi, maumivu ua misuli, nausea..
Usilolijua ni sawa na usiku wa GizaSasa huyo anayenyonya maziwa hayo atakuwa je.
Dawa ya kufanya maziwa yatoke ni supu au uji wa lishe mtori nk.
Duniani kuna mambo
Alafu sijui kwanini vitu vyenye madhara vinakuwaga vitamu Sana mfano kitimoto + bia tamuu[emoji28]Sukari ina madhara
Nyama nyekundu ina madhara
Chumvi ina madhara
Mafuta ya mimea /wanyama yana madhara
Kitimoto ina mdhara.
Juzi tumeambiwa maji yana mdhara.
Kiasi nimechoka kusikia haya madhara.
Out"
Nimeshuhudia mama wa kichaga akimnywesha bia mtoto ili aache kulia na aliacha kulia....!!!Hivi mtoto akinyonya hayo maziwa hawezi kusizi kama teja kweli?
afu nilicho kiskia kwa wachaga hiyo ni kama desturi, katoto kakiwa hivyo hivyo kachanga wanakachapa na konyagi kukatoa mawengeNimeshuhudia mama wa kichaga akimnywesha bia mtoto ili aache kulia na aliacha kulia....!!!
Nilienda kibosho kipindi flni nikatoa ofa ya bia kwa vibibi kama 9 hivi..walinitemea mate siku hyo hd ikabidi nikabadili nguo na kuoga kabisa..afu nilicho kiskia kwa wachaga hiyo ni kama desturi, katoto kakiwa hivyo hivyo kachanga wanakachapa na konyagi kukatoa mawenge