Nawasalimu wanajf wote. Naanza kwa kuomba samahani kwa vile naelewa wazi kuwa thread hii si pure siasa.
Nimekuwa nikifuatilia picha zinazopigwa huko Loliondo kwa babu, jambo lililonifanya niwaulize nyie wenzangu ni huu utaratibu wa kunywa dawa huku wagonjwa wakiwa wamesimama. Je haya ni masharti au ni haraka tu ya wagonjwa wenyewe? Kama si masharti ina maana hata mabenchi ya kukalia yameshindikana kupatikana kwa ajili hiyo? Dawa ni kitu cha kuheshimika sana na hasa hiyo inayoambatana na imani ya kidini, sasa ni vipi inywewe kwa kusimama? Hepu shuhudia picha hii hapa chini.
Je ikiwa kweli katumwa na Mungu na pia bado anashauri watu wasimsahau Mungu wao maana kabla hajaanza shughuli huanza kwa kupiga sala.yesu alisema nawaambieni watakuja watu wangu wakijifanya ni KRISTO, hao watawadanganya wengi na pia atakuja mtu akijifanya katumwa na mungu na kuwa atataibu magonjwa mengi na wengi wataamini na kumsahau mungu wao,na mataifa mbalimbali watamfuata, hakia mkimuona mtu huyo ujue hiyo ni dalili ya siku ya mwisho kukaribia. TAFAKARI CHUKUA HATUA....................
mi nadhani uelewa mdogo na fikra mbovu mlizonazo ndo zinawaponza.we unadhani folen inayokuweepo kwa babu kila mtu angekuwa angekuwa anashuka na kukalia bench unazosema ni wangapi wangepata huduma?na mi nadhani we sio mfatiliaji maana kwa babu watu waokuwa kqwenye magar wanapewa dawa wakiwa kwenye magar yao ili kuarakisha zoezi, babu anajaza vikombe na wahudum wana wapa watu.au unataka kusema hata wakiwa kwenye magar wanaambiwa wasimame?kama unaumwa kanywe dawa ndugu bt kama we ni mzima waache wagonjwa wapate huduma.