Kunywa maji kulingana na uzito wako

Asante xn nalifnyia kazi mana wabongo kunywa maji adi aone muhuri wa daktari
 
Asante kwa taarifa lakini kuna usemi wadau wengi husema kwa siku angalau unywe maji lita 5.
 
Asante kwa taarifa lakini kuna usemi wadau wengi husema kwa siku angalau unywe maji lita 5.
Unywaji wa maji hutegemea hasa na uzito wa mnyaji kama kielelezo husika.Hicho ni cha kisayansi.Kunywa maji kupita kiasi unaiovaweki figo.Tafadhali kunywa kistaarabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…