GlorytoGod
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 158
- 50
Du swimming pool tena hahahahahahaMzee, huenda una swimming pool tumboni.
Hujijui tu kuwa kila asubuhi unatakiwa uijaze maji.
heshima kwenu wana jf,
mimi ninashida moja ya kuwa nikinywa maji mengi sana maana inaweza kufika saa 4asubuhi nimeshakunywa kama maji lta 4, ila nikikaa baada ya muda kichwa kinaanza kuniuma sana nasikia kizunguzungu mpaka nikae baada ya muda kama masaa 3 ndo napata nafuu wandugu nisaidieni tatizo ni nini?
Kacheki kisukari faster
Kunywa maji zaidi ya lita tatu ni hatari sana kwa afya yako(you sweep out some nutrients from the body).kunywa maji kidogo kidogo,usinywe lita nzima kwa mara moja,zingatia kunywa saa moja kabla na baada ya kula.
Hahitaji kucheki kisukari, anahitaji tu kupunguza kiasi cha maji anachokunywa, asizidishe lita 3.5 katika masaa 24.
Mwambie abonyeze hapa: Jitibu kwa kutumia maji | maajabuyamaji.net akajifunze tiba kwa kutumia maji inafanyikaje.
Ninyi ndo mnaoua Watu na vijitiba vya kubahatisha
Kucheki sukari na pressure ni muhimu pia Fadhili Paulo. Asingojee kuumwa hata kama huamini kuwa anaweza kuwa ana tatizo.
Fadhili Paulo, nakubaliana na wewe kaka. Binafsi nafanya medical checkup kila mwaka, lakini kila nikijisikia ovyo lazma nicheki sukari na pressure kama preucation kwa sababu nina risk factor (genetical history).
Nijuavyo kama umekunywa maji mengi sana kinachotokea sio kizunguzungu bali ni kupata haja ndogo kila mara. Ndo maana nasema pamoja na mengineyo, kupima kisukari na pressure ni jambo muhimu, kila mara na kwa watu wote.
heshima kwenu wana jf,
mimi ninashida moja ya kuwa nikinywa maji mengi sana maana inaweza kufika saa 4asubuhi nimeshakunywa kama maji lta 4, ila nikikaa baada ya muda kichwa kinaanza kuniuma sana nasikia kizunguzungu mpaka nikae baada ya muda kama masaa 3 ndo napata nafuu wandugu nisaidieni tatizo ni nini?
Mzee, huenda una swimming pool tumboni.
Hujijui tu kuwa kila asubuhi unatakiwa uijaze maji.
pole kuna shida nyingi, ila sijui tiba lakufanya kama upo moshi au arusha naweza kukuelekeza kwa dokta mmoja anakifaa naamini ataweza kukusaidia. Jaribu ushauri uliopewa ukishindwa nitumie ujumbe nitakuunganisha nae.