Kama jina lako,ujumbe wako dawa,kweli mkuu umenena!Good Message! lakini usishangae hii sredi ikakosa kufika hata page 2! Yaani JF zile sredi muhimu ndio zinakosa michango. Sredi likiongelea tigo ndio utaona linatelea balaa!. Mungu atakulipia bana!
RedDevil.....you are warmly welcome.Weekend njema pia kwako.Be blessed.
Ahsante kwa kutukumbusha mkuu! Weekend njema![/QUOTE
Ndugu yangu nakuomba ubadilishe hii Avatar yako , huwa najisikia vibaya sana ninapoingalia.