Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Habari za mida hii Wakuu natumaini shughuri zetu zinaenda vizuri
Leo bwana mida ya asubuhi hivi nilikuwa natazama Clouds 360 ila kuna clip flani ya Mkuu wa Wilaya ilionyeshwa anasema kwamba leo ni siku ya maziwa duniani yani ya kunywa,
Anasema kwamba ukipata maziwa we piga tu mpaka basi kunywa sana tu! Kama ukipata ya kunyonya we nyonya sana tu!
Sasa sijaelewa ni maziwa haya haya ninayoyaelewa ya kunyonya ama kuna mengine tofauti na haya maana mimi nafikilia pengine.