Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.

Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka

Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
 
Waache waibe mwisho wa siku sote mali ya funza
 
Vijana wanaotumika kunywa pombe wachapwe viboko waende ubalozi kwa wale wanaotaka kuiba nchi yetu
 
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.

Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka

Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa mtapigwa mnada ninyi na wake zenu mkapuuza Au sio nyie?
Walitakiwa kuinvest mabilioni wanayogawana wabunge kusomeshea vijana wa kiTz utaalamu wa IT na teknolojia ya kuendesha bandari na siyo kutuingiza walikotupeleka, hii ni another type of slave trade
 
Back
Top Bottom