Kunywa Vimiminika Baridi Mara Tu Baada ya Kula

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Happy NY

Asilimia kubwa ya watu huenda sana kula huku wakishushia na maji tena ya baridi sana, imeshakua desturi ya kaya nyingi kuandaa chakula na maji ya kunywa au mtu anaginga viepe na soda baridi sana

najua hakuna uwiani wa joto la mwili na chakula cha moto vs kinywaji baridi lakn nalazamika kuandika hili ili tuendelee kukumbushana kwamba siyo vizuri sana kufanya hivyo

ni vyema usubiri nusu saa-saa moja baada ya kula (kutegemeeana na mazingira) ndiyo ufanye hivyo

la kwa kuwa sababu hii inatokana hasa na kiu kutokana na ukavu wa vyakula usababishwao na kuwa na maji kidogo mwilini, inashauriwa usisubiri hadi uwe na kiu ndiyo unywe maji, tujenge tabia ya kunywa maji kama hitaji muhimu sana mwilini

Kisa; jamaa mmoja amepata kiharusi hapa mtaani kwangu mara tu baada ya kufakamia maji baridi alipomaliza kula, ingawa huenda isiwe na uhusiano wa mojakwa moja lakn tujifunze kitu
 
Ni kweli kabisa Nimejifunza kitu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…