Nimekupata, ila sasa hujajibu - ikitokea kijana ambaye hajaoa akakujia na kukueleza mambo anayoyaona kuwa yanamfanya asiwe na hamu ya kuoa utamshauri nini?ukichunguza jinsi wanawake na wanaume tulivyo
kimsingi hakuna jipya
watu ni wale wale na mambo ni yale yale tangu enzi na enzi
kilichopo sasa ni mbadiliko ya nyakati yanayofanya binadamu tujue mambo ambayo zamani
sio kila mtu alijua....
mfano bila internet ungekutana wapi kwa mfano na wanawake au wanaume
wakijisifia uzinzi mfano???????
but walikuwepo tangu zamani
simu pia zimesababishamawasiliano yawe rahisi na kutongozana pia
namengineyo
Baba mchungaji embu acha kuwatisha watu...wawekee ya kwetu waone raha ya kuoa
Maneno ni matamu lakini tukija kwenye real life ni noma tupu. Sijui kwenye ngono huwa kuna nini. Unaweza ukafanya then ukaanza kujilaumu, hivyo hivyo na mwenzio anapitiwa then anajilaumu na kubakia sitorudia tena. Ukweli ni kwamba ukishafungulia kashetani hako kukastopisha inakuwa issue.kuoa /kuolewa kuna faida
mke mwema na mme mwema wanatoka kwa mungu.
usimtende mwenzio usiyopenda kutendewa ndoa itadumu
Baba mchungaji embu acha kuwatisha watu...wawekee ya kwetu waone raha ya kuoa‘
Unamaanisha wenye ndoa zenye matatizo hawakuomba wakati wa uchumba? Na mbona wengine wanaishi kwa misingi ya kidunia (ushirikina) na ndoa zao ziko katika utulivu? Unamkuta baba ni kama ***** hana muda wala wa kufatilia lolote, mwanamke aende club arudi alfajiri hakuna kuulizwa - hawana mgogoro hata kidogo. Wasemaje kuhusu hilo?Bora kuoa au Kuolewa kuliko kutooa au kutoolewa, ni vyema ukifikia mda wa kuo au kuolewa usiangalie ndoa za wengine bali muombe mungu akupatie mke/mme mwema ambaye mtaweza kuijenga familia yenu kwa upendo wa dhati, amani ikatawala ktk ndoa yenu
Hii ni kwa wote, ndo maana nimeiweka hapa tuijadiri, sio kwamba nawalaumu wanawake tu. Kama maisha ni ki hivyo basi bora tuzalishane tu kila mtu akitaka kudandia yeyote adandie - kufichana ndo kunaleta mambo ya ajabu. Ukizuia jambo fulani linakuwa kama limeruhusiwa sijui binadamu tukoje?20 yrs down the lane, u will be disappointed more by the things that u ddnt do than the ones that u dd wrong, so they say. japo umesahau kitu, wanaume waliooa nao wakienda kutafuta rizika ama wakisafiri kikazi hawachukui take away?
Nimekupata, ila sasa hujajibu - ikitokea kijana ambaye hajaoa akakujia na kukueleza mambo anayoyaona kuwa yanamfanya asiwe na hamu ya kuoa utamshauri nini?
Asante baba mchungaji...tulipendeza!!Jamani haya ndio mambo...mkipendana hata magimu yanakua marahisi!Tafuteni muwapendao na wawapendao kweli ndo mpelekane kwa viongozi wa dini!!
Asante baba mchungaji...tulipendeza!!Jamani haya ndio mambo...mkipendana hata magimu yanakua marahisi!Tafuteni muwapendao na wawapendao kweli ndo mpelekane kwa viongozi wa dini!!