Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mbona bado ni fumboooo...
ndo kwanza nimeingia age ya 35 halafu tamaa za kuoa zipo mbali.. nifanyeje???[/QUOTE]
Amua! U cant have ur cake and eat it.
35 ungestahili kuwa umeoa- kama ndoa ni kitu unakipenda.
Hi wana JF,
naomba kupata mawazo yenu kuhusu kuoa umri ukiwa umeenda, kuna faida au hasara gani?
Kuna utafiti wa kisayansi unaosema kuwa wanaume wanaopata watoto wakiwa wazee, wanapata watoto wenye IQ ndogo kwa sababu ya genes mutations. Pamoja na hayo sina mpango wa kuoa.
kila mwanaume aliotoa mawazo hapa baadhi wanasema hawana mpango wa kuoa . Kulikoni? sababu n nn hadi mtu unaogopa kuoa? Kumbukeni uasherati ni dhambi na Mungu aliweka swala la kuoa kwa makusudi yake ya maana.Kuna utafiti wa kisayansi unaosema kuwa wanaume wanaopata watoto wakiwa wazee, wanapata watoto wenye IQ ndogo kwa sababu ya genes mutations. Pamoja na hayo sina mpango wa kuoa.
jamani mbona bado ni fumboooo...
ndo kwanza nimeingia age ya 35 halafu tamaa za kuoa zipo mbali.. nifanyeje???