Kuoa kwanza au pesa kwanza?

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
366
Reaction score
140
Binafis sijui kipi nikipi hebu tujuzane kijana ni bora aoe kwanza ndio atafute pesa au atafute pesa kwanza ataoa baadaye kipi ni kipi tujuzane
 
Kama mmependana mnaweza kufahamishana kwa wazazi na kufanya ndoa ya dini. Mkipata pesa huko baadae mfanye reception.

Mke ana baraka na analecta discipline katika maisha.
GOOD POINT UBARIKIWE SANA.
 
OWA KWANZA MAMBO YA PESA MTAYAPANGILIA MKIWA WAWILI BAADAE.
 
Kama mmependana mnaweza kufahamishana kwa wazazi na kufanya ndoa ya dini. Mkipata pesa huko baadae mfanye reception.

Mke ana baraka na analecta discipline katika maisha.

Kama huna discipline huna tuu ata uoe wake mia.
 
Maisha hayanaga formula, kwa huyu hili linaweza kuwa bora kwa mwingine lisifae.
binafis sijui kipi nikipi hebu tujuzane kijana ni bora aoe kwanza ndio atafute pesa au atafute pesa kwanza ataoa badae kipi ni kipi tujuzane
 
Kama unataka kuoa zumbumbu oa kwanza, ila kama unataka mwanamke mkali tafuta pesa kwanza.
Note: Ukioa ukiwa huna pesa ni rahisi sana kumuona mkeo hakufai cku ya kuonana na akina mobeto ukiwa na pesa zako
 
Kila mtu anaeishi duniani, anaishi akiwa kwenye chumba cha mitihani kila iitwapo leo, Mitihani hio inatofautiana kwa kila mtu ijapokua mitihani yote hio imeeandikwa kwenye makaratasi yanayofanana, swali utakalojibu katika mitihani yako katika maisha ni tofauti na swali la jirani yako. Umakini unahitajika katika hili kwa sababu maisha huku mitaani ni tofauti kabisa na mambo yanayofundishwa shuleni na vyuoni
 
PESA KWANZA,PESA NDO KILA KITU,ila washamba wa k*ma huanza kuoa wakiwa hawana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…