Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,133

With all due respect Sir, I beg to differ..... Not all women, I think wewe umekutana na wa aina moja, I know some who are really powerful in some aspects like elimu, kazi and yet they are down to earth to their husbands!
Boss ni PM umri wako please. kama unataka kufa kabla ya muda wako owa mwanamke alie advance. kuna watu wanakufa na maumivu yao hawasemi.hebu tuulizane nini maana ya kumzidi mtu kielimu kwanza??????
unaweza kuwa umezidiwa kielimu in papers lakini kwenye general knowledge uko juu sana
mimi hapa huwa nachati na wadada wenye phd kwenye maeneo yao but still nawafundisha vingi ambavyo hawavijui

Kweli mkuu? seems you may convice me otherwise ... Nifafanulie kidogo what makes the group you know down to earth and loyal? While we al know that Power corupts women much more esier than men?
Boss ni PM umri wako please. kama unataka kufa kabla ya muda wako owa mwanamke alie advance. kuna watu wanakufa na maumivu yao hawasemi.
Mimi nilikuwa nae mmoja hajanizidi uwezo wowote lakini alipopata kazi tu, nikaona anahitaji kuwa independent zaidi, nilichokifanya nikamwambia huu ni msimu wa dirisha dogo la usajili waweza kwenda hata kwa mkopo. then life goes on.

Mmmmh mi naombea mwanaume wakuishi naye kama mume, awe amenizidi katika baadhi ya mambo hata kama sio yote, manake kwa hulka ya kiume kumzidi ni matatizo tu. Mmmh ingpendeza lile linalonishinda yy aweze, kile nisichokijua basi yy akijue afu nimuulize. Vinginevyo............

mkuu azimio

hebu fafanua hili

unazungumzia power au kuzidiwa kielimu?

kwa sababu power ina maana pana

duh Jf bhana! Unahitaji ushahid wa maandish kama bi kiroboto
Simply and in a very plain spoken language ... Dont dare!

Yes' dont dare to make her your wife a woman under those conditions!

You ask Why? Power is toxic to any woman if above her Husband!!

She wil risent you regardless and whatever you dream as supermanagment to her! Dont Ever dare do that!! Am sure al those Real Women knows what am talking about!!

Kweli mkuu? seems you may convice me otherwise ... Nifafanulie kidogo what makes the group you know down to earth and loyal? While we al know that Power corupts women much more esier than men?
Utakuwa ni Mcongoman tu wewe sio bure. kama ukigeuza ndio ajila yako hiyo kitu najuwa umahiri wako ndio utatunza heshima tena hata usafiri utapewa wa kutembelea, maana chumvini uvinza pakipata mtalaam hata demu awe na PHD hakwambii kitu.unanitisha mkuu
mimi weakness zangu ni wanawake aina hiyo
walionizidi kila kitu
mpaka age...na naona nawamudu.....

sio kweli kama umemzidi mumeo elimu na unapata mshahara mzuri ndio umdharau mumeo,ni hulka tu yamtu na tabia mbaya haija husiana chochote na elimu wala kipato,labda malimbukeni ndio hufanya hivyo.
Utakuwa ni Mcongoman tu wewe sio bure. kama ukigeuza ndio ajila yako hiyo kitu najuwa umahiri wako ndio utatunza heshima tena hata usafiri utapewa wa kutembelea, maana chumvini uvinza pakipata mtalaam hata demu awe na PHD hakwambii kitu.
Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?
hebu tuulizane nini maana ya kumzidi mtu kielimu kwanza??????
unaweza kuwa umezidiwa kielimu in papers lakini kwenye general knowledge uko juu sana
mimi hapa huwa nachati na wadada wenye phd kwenye maeneo yao but still nawafundisha vingi ambavyo hawavijui
Dah!!! Wewe ndio umeongea jambo la msingi ningekuwa nina halwa hapa ningekupatia sema nimekula nimemaliza zote
...kwenye mahusiano ya mapenzi/ndoa/maisha mkishaanza kuingiza vigezo vya huyu kanizidi hili nami nimemzidi hili mjijue hamtafika mbali... mwishowe mtafikia hiki changu, hiki chake...!
Nitarudi kuchangia, time za futari hizi...
Dah!!! Wewe ndio umeongea jambo la msingi ningekuwa nina halwa hapa ningekupatia sema nimekula nimemaliza zote