Kuoa mwanamke anaye kuzidi Elimu

we mtoto wa kiume usipende zile dizaini za wanaume kama mabinti shauri yako.

Mwanamke akikuzidi elimu wewe tumia busara na hekima kama baba/ kiongozi w familia na utafanikiwa, kama huna muombe mola akushushie utaona mambo yanavyonyooka.

Nadhani kuna suala la inferiority complex kwa upande wa mwanaume na superiority complex kwa upande wa mwanamke

Labda mimi nifunge mjadala hapa, ni bora mwanamke akuzidi elimu lakini sio pesa. akikuzidi elimu ukawa na mikwanja unaweza kutumia elimu yake kuzalisha pesa zaidi. Mfano hai kamanda Freeman Mbowe.

Labda mimi nifunge mjadala hapa, ni bora mwanamke akuzidi elimu lakini sio pesa. akikuzidi elimu ukawa na mikwanja unaweza kutumia elimu yake kuzalisha pesa zaidi. Mfano hai kamanda Freeman Mbowe.
Hata akikuzidi pesa pia ukijiamini unaishi nae kwa amani tu mkuu

Hata akikuzidi pesa pia ukijiamini unaishi nae kwa amani tu mkuu
Si kweli, money is power. uliza duniani hapa sehemu yoyote ile utajibiwa hivi. hata kwenye Biblia kwenye kitabu cha mithali hekima za mfalme Suleimani inasema " Pesa ndio suluhisho la yote". hakuna swala la kujiamini hapo.

swadakta,watu hapa wanachanganya Maarifa na Cheti!!
Issue hapo ukiwa hauna uwezo wa kusimamisha mantiki!
Phd na uwezo wa kuongoza familia havina uhusiano wa moja kwa moja,tatizo wanaume hawajiamini!

Ninachoweza kusema hapa ni kwamba money changes behaviour. Kama wewe unatakiwa uwe "kichwa" na nguvu zote anazo mama ni vigumu ndugu yangu.

Umenena sawa mkuu hii hali inategemea malezi na upendo wa mtu kuna wanawake wana elimu zao na kipato kizuri lakini unakuta mwanaume ni mkorofi anamdhalilisha na hata kumpiga lakini mwanamke anavumilia mpaka mnabaki kujiuliza ni nini kinachomweka hapo ikiwa ana elimu nzuri kumpita hata mumewe.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…