JF habari,
Jamani me hua najiuliza swali moja,
hivi logic ya kuoa halaf bado mtu mkaishi mbali na mkeo/mmeo inakuawap?
kwanfano mtu ni bachela, na unaishi mbali na unaetegemea kumwoa, mungu akajalia mkaoana,
lakini bado ukabaki huko uliko na yeye mmwenza wako akabaki huko aliko. sasa mantiki ya kuoa inakua wap hapa!
Lengo hua ni kumfunga mtu asijarib kukutoka au ni kuoa kweli!!!

Arabianfalcon,Kua mbali si hoja muhimu nikuaminiana,hata mkionana mara 2 au 1 kwa mwaka inatosha ikiwa lengo lenu moja na sikuizi mitandao kibao ndio kabisa,sio yale ya zamani yakuandikiana mpaka ikifika na wewe uloiandika uhoi kwakusubiri majibu.
unajua nimeamua kuuliza hivi baada ya jana kutoka kazini nikiwa nimechka kweli, nikawa nipo seatingtu nimekaa nakula music.Nafikiri ni njia mojawapo ya kuoneshana kuwa mmeamua kuwa pamoja, umbali sio tatizo! Na naamini watu wakishaoana, mikakati inaanza ya kuhakikisha mnapokuwa pamoja, tofauti mkiwa wachumba tu!
its trueunanunua shamba mkuranga
na wewe unaishi morogoro
halafu hao wezi wa shambani mwako mbona watafaidi lol
JF habari,
Jamani me hua najiuliza swali moja,
hivi logic ya kuoa halaf bado mtu mkaishi mbali na mkeo/mmeo inakuawap?
kwanfano mtu ni bachela, na unaishi mbali na unaetegemea kumwoa, mungu akajalia mkaoana,
lakini bado ukabaki huko uliko na yeye mmwenza wako akabaki huko aliko. sasa mantiki ya kuoa inakua wap hapa!
Lengo hua ni kumfunga mtu asijarib kukutoka au ni kuoa kweli!!!
Nafikiri ni njia mojawapo ya kuoneshana kuwa mmeamua kuwa pamoja, umbali sio tatizo! Na naamini watu wakishaoana, mikakati inaanza ya kuhakikisha mnapokuwa pamoja, tofauti mkiwa wachumba tu!
unanunua shamba mkuranga
na wewe unaishi morogoro
halafu hao wezi wa shambani mwako mbona watafaidi lol
ndo maana KUOA, kwa tafsiri nyepesi kabisa ni TENDO LA NDOA............
Mkuu uko sahihi kabisa. Hili ni tatizo ambalo limewakabili ndugu zetu wengi wakajikuta ndoa ikivunjika. Kumbuka mke akutoka kwao kuja kula na kulala bali kaja kukufuata wewe. hivyo hata ala machopo chopo kibao bila penzi lako ni bure. Yuko radhi kulala njaa lakini awe na mpendwa wake.ukweli ni kuwa familia ambayo haikaii pamoja haiwezi kuishi pamoja..........................in everyway distance is a barrier to true love and blissful marriage..............................utakuta kila mmoja wao tayari anafamilia yake ya kisirisiri................................mahitaji ya mwanadamu hayawei kuchakachuliwa kwa utani utani wa kuishi mbalimbali............................angalia uchagani........dume lipo mjini mama kaachwa ataabike kijijini.....jamaa mjini ana vimwali na mama kule kijijini anagaragzwa mgombani......lol.............................na baadaye ni vvu tu huwakaba kabali na haiwaachi..........lol
kuwa pamoja ni kuishi pamoja siyo kinadharia tu................................mahitaji ya kuwa pamoja hayawezi kuchakachuliwa hata siku moja......................
JF habari,
Jamani me hua najiuliza swali moja,
hivi logic ya kuoa halaf bado mtu mkaishi mbali na mkeo/mmeo inakuawap?
kwanfano mtu ni bachela, na unaishi mbali na unaetegemea kumwoa, mungu akajalia mkaoana,
lakini bado ukabaki huko uliko na yeye mmwenza wako akabaki huko aliko. sasa mantiki ya kuoa inakua wap hapa!
Lengo hua ni kumfunga mtu asijarib kukutoka au ni kuoa kweli!!!
huko ni kujitia majarbuni. sasa ukishindwa na ukamsaliti ndo uprove kua huwezi then umwite mkeo au??Lakini kama uliamua huo umbali unaweza kuwa kipimo cha mapenzi kwamba je unaweza kukaa mbali na mke/mume wako bila kumsaliti?