Kuoa napenda ila naona aibu!!!!!

Kuoa napenda ila naona aibu!!!!!

Dunia ya sasa

New Member
Joined
Feb 13, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Mwenzenu nina penda sanda kuoa/ Kuwa na mke, ila najisikia aibusana ninapojiwa na wazo la kumvulia nguo.Je nifanyajje?
 
So hapo ulipo hujawahi kumvulia mwanamke nguo
Kigiza giza uwe unazima taa ya chumbani wakati wa kufanya lolote asikuone mtupu
 
wewe oa tu masuala ya kuvua nguo yanatoka wapi? kama unaogopa kumvulia basi akuvue mwenyewe na ajihudumie kila kitu
 
Mwenzenu nina penda sanda kuoa/ Kuwa na mke, ila najisikia aibusana ninapojiwa na wazo la kumvulia nguo.Je nifanyajje?

Wala huna sababu ya kuvua!!kwa kawaida mzuka ukipanda hata hutajua nguo zilitoka muda upi!!!
 
Angalia usije olewa wewe,maana wapo wasioogopa hicho unachoogopa!
 
hhahahahahahhahahahahahhhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah duuuuuuu unakibamia nini hahha maana watuwenye nukta kawaida yenuuuuu
 
Hujaonja ile kitu inaitwa ( K ) ndio maana unaona aibu,siku ukiionja utakuwa unatembea bila kuvaa nguo,(Radha adimu)
 
Back
Top Bottom