kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Ukitaka usife mapema kama mwanaume oa zaidi ya mke mmoja..watafocus kupambana wao kwa wao ili wa kuwini wewe.Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Aliyeleta huu upuuzi wa mke mmoja ndio aliyesababisha ongezeko la single maza na makahaba.Wew huna akili
Angalia takwimu za sensa ya Dunia
Idadi ya wanaume na wanawake,halafu uje hapa ufute Uzi wako.
Tatizo huwa mnamezeshwa UPUMBAVU kuhusu ndoa za wake wengi
Ulienda JANDO?Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Acha upuuzi lakini kudinyana minduku Wanaume kwa Wanaume ni haki za binadamu?Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Wanawake si wa kutetea waache tu kama.walivyoMoja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Lakn kufilana ni vizuri sndio?Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Kiongozi, wanawake na wanaume duniani hatupishani kiasi cha kusema mwanaume mmoja kuwa na wake hata wawili. Tunatofautiana kwa idadi ndogo saaaaana. Ni upumbavu kuoa wanawake kwa mafungu.Wew huna akili
Angalia takwimu za sensa ya Dunia
Idadi ya wanaume na wanawake,halafu uje hapa ufute Uzi wako.
Tatizo huwa mnamezeshwa UPUMBAVU kuhusu ndoa za wake wengi