Kwani hao wanawake huwa wanalazimishwa?Kiongozi, wanawake na wanaume duniani hatupishani kiasi cha kusema mwanaume mmoja kuwa na wake hata wawili. Tunatofautiana kwa idadi ndogo saaaaana. Ni upumbavu kuoa wanawake kwa mafungu.
Mke mmoja kwa mume mmoja kama ilivyokuwa kwa Adamu na Hawa
😁😁nashindwa kuelewaNa hao waliokuwa na mmoja bado wanauana kwa risasi, Sasa sijui ndiyo upendo?
Vipi kuwa na watoto wengi, hauoneshi kama unamiliki mifugo? Makubaliano yao wewe yanakuhusu nini? Athari yake kwa jamii ni nini?Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Wew sitak tubishane kisa fikira zako za kikora.Kiongozi, wanawake na wanaume duniani hatupishani kiasi cha kusema mwanaume mmoja kuwa na wake hata wawili. Tunatofautiana kwa idadi ndogo saaaaana. Ni upumbavu kuoa wanawake kwa mafungu.
Mke mmoja kwa mume mmoja kama ilivyokuwa kwa Adamu na Hawa
Hawalazimishwi ni umasikini tu unawasumbua. Mwanamke anayetokea familia yenye utajiri hakubali huo upumbavuKwani hao wanawake huwa wanalazimishwa?
Aliyelaza akili zenu alisahau kuziamsha.Utakubali kiurahisi binti yako akaolewe mke watatu, wanaume tuseme kutoka moyoni bila unafiki
Hao ambao dini inaruhusu mbona pia hawataki wake wengi? Wakiona mume ana mwanamke mwingine wanaanza kupambanaAliyeleta huu upuuzi wa mke mmoja ndio aliyesababisha ongezeko la single maza na makahaba.
Kikubwa uchumi tu wao wenyewe watakuja.
Waislam watasema mwanamke ni kama mfugo wa mwanaume kwa mujibu wa maandiko na hadithMoja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Nimefanya utafiti, wanaume na wanawake hatupishani sana na wala sio jambo la kubishana na wewe.Wew sitak tubishane kisa fikira zako za kikora.
Fanya utafiti wala kuuliza takwimu huko Google, Meta AI,watakupa ukweli.
Bahati mbaya ushaiaminisha akili yako ukora.
Mdogo wangu hii dunia haina formula maalumu ya kuishi. Usije kukaa kwa fikra zako ukagenerate hoja zako ukahisi zina apply kwa watu wote. Kila mtu ana namna yake ya kuishi kutokana na makuzi na historia ya maisha yake.Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Unaweza kuweka hapa hilo andiko?Waislam watasema mwanamke ni kama mfugo wa mwanaume kwa mujibu wa maandiko na hadith
Unawezaji kuishi na kidole kimoja? Usefulness ya vidole ni wingi wake na utofauti wake wa maumbile.Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.