kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
- Thread starter
-
- #41
Duh😁😁😁Waislam watasema mwanamke ni kama mfugo wa mwanaume kwa mujibu wa maandiko na hadith
Wewe ni mwanamke? Au hao wanawake wenzio wamekutuma mwakilishi uwe msemaji wao?Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Sema pepo ya ndugu zetu waislamu inavutia sana aiseeMoja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
😁😁😁Kwakweli hiyo ni mifugo
Wazungu hawawezi kukueleza ukweli kwamba eti wanawake ni wengi sana lazima wabalance ili kuhakikisha wanawake kwa wanawake mnasagan,a na wanaume kwa wanaume wanapakuana mikund,u.Kiongozi, wanawake na wanaume duniani hatupishani kiasi cha kusema mwanaume mmoja kuwa na wake hata wawili. Tunatofautiana kwa idadi ndogo saaaaana. Ni upumbavu kuoa wanawake kwa mafungu.
Mke mmoja kwa mume mmoja kama ilivyokuwa kwa Adamu na Hawa
Kwa maelezo haya unamaanisha wao hawana hisia za kupenda na kupendwa kwahiyo wanaishi wakitegemea mwanaume anajisikiajeMtoa mada naona katingisha meza ya vinywaji vya bei kali.Ni natural kwa mwanaume kuwa na wanawake wengi, ilipaswa kuwa hivyo.Sema mfumo wa maisha uliotengenezwa na wazungu, umesababisha maisha kuwa gharama sana, pili elimu hizi zinatuformat kuwa wabinafsi, wachoyo, dini ngeni hizi, ambazo pia zimebeba utamaduni wa kizungu [uliojaa ubinafsi na uchoyo],zimetuingia kwelikweli.
Wanawake wanahitaji uhakika wa maisha, women are predetors, kama unauwezo, unaoa vizuri tu na wanaishi bila tabu
Mzee, siku ukikosa hela kwa kipindi kirefu, au ukayumba ndo utaelewa kama huyo mwanamke aliyekwambia anakupenda alimaanisha au hapana.Wanawakw hawana mchezo na uhakika wa maisha yao na ya watoto wao.Kwa maelezo haya unamaanisha wao hawana hisia za kupenda na kupendwa kwahiyo wanaishi wakitegemea mwanaume anajisikiaje
"utamaduni" , "mila" miaka 100 ijayo zitakua na hali ngumu sanaNi utamaduni tu
Kama unahamu ya kupiga miti wewe wakusanye tuu. Kwanini Sisi binadamu ndo tuwe na mke mmoja wakati mahitaji ni wake wengi?Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako. Harafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu , huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni . wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Acha roho mbaya wanawake tuliumbiwa sisiNilipoiona ile video ya yule mbunge wa Geita akiwatambulisha wake zake kama vile wacheza shoo iloniuma sana just imagine kati ya wale wanawake angekuwa mwanao au dadako ndo anatambulishwa mke watano. Yaani kama bidhaa.
Hapa sio maswala ya Haki ni natureSiku wanawake nao wakitaka haki ya kuolewa na nawanaume zaidi ya mmoja, wanaume tutakuwa tayari
Swali la kwanza, we ni mwanamke?Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako.
Alafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu, huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni .
Wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.