Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Wazee wa kikurya wanasema hivi...," ukitaka kufa mapema oa mke mmoja"Moja ya utamaduni wa ovyo sana unaakusanya wanake kama mifugo yako.
Alafu Kwa majigambo unawatambulisha mbele za watu, huyu wa kwanza huyu wa pili. Huyu watatu wanne yuko jikoni .
Wanawake siamini kama wanafurahia hali hiyo na dini zinatumika kama Moja ya fimbo ya kuwakandamiza.
Je logic ya kawaida unaweza kuwapenda wanawake wawili sawa Kwa sawa.
Wewe ni mwanamke au mwanaume au ni upinde vilevile?Wanawake wengi hawapendi ila wanalazimika inaweza kuwa kwasababu ya dini au umasikini .
Kwa hiyo we jamaa tukiwa idadi sawa na wanaume watapakuana au sio! Akili za wapi hizi?Wazungu hawawezi kukueleza ukweli kwamba eti wanawake ni wengi sana lazima wabalance ili kuhakikisha wanawake kwa wanawake mnasagan,a na wanaume kwa wanaume wanapakuana mikund,u.
Hiki ni kitu ambacho kipo uchi kabisa wanawake ni wengi mno kuliko wanaume. Anzia majumbani, mitaani, mashuleni nakadhalika ndipo utagundua ukweli.
Kisayansi pia chance ya kuzaliwa mwanaume ni finyu ukilinganisha na mwanamke. Mwanamke anawakishwa na jumla ya 'X' tatu dhidi ya 'Y' moja ya mwanaume.