MWINUKAOSCAR Member Joined Jun 1, 2012 Posts 40 Reaction score 1 Feb 23, 2019 #1 Katika sheria za nchi zetu...je ipo sheria inayomzuia mwanaume kuoa wake zaid ya mmmoja? Sent using Jamii Forums mobile app
Katika sheria za nchi zetu...je ipo sheria inayomzuia mwanaume kuoa wake zaid ya mmmoja? Sent using Jamii Forums mobile app
sagaciR JF-Expert Member Joined Jun 17, 2017 Posts 644 Reaction score 878 Feb 23, 2019 #2 Haipo: Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Na. 5/1971 kifungu cha 10 Kuna aina mbili tu za ndoa kwa TZ yaan 1. Ndoa ya mke mmoja, na 2. Ndoa ya wake wengi (i.e zaidi ya mmoja) Sent using Jamii Forums mobile app
Haipo: Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Na. 5/1971 kifungu cha 10 Kuna aina mbili tu za ndoa kwa TZ yaan 1. Ndoa ya mke mmoja, na 2. Ndoa ya wake wengi (i.e zaidi ya mmoja) Sent using Jamii Forums mobile app