Kuoga maji ya barafu

Kuoga maji ya barafu

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
wakuu kutokana na kukithiri kwa joto jijini dar nimekuwa nikioga maji ya baridi ambayo nimewekea mabonge ya barafu je hii inaweza kuwa na madhara kwny mwili wangu? wataalam msaada
 
Iko siku Utakuja ugua hypothermia utajuta KABISA kufanya Unachokifanya.

Wacha kabisa Mchezo huo..
Mwili wako hauhitaji maji ya Barafu Kua Cool down.
Na kuna Nafasi ndogo Huenda ukapata msukumo wa moyo (heart attack) usipochunga.
 
,hypothermia is a condition not a disease, Ni hali ya viungo muhimu mwilini kuganda na kushindwa kufanya kazi,huwatokea watu waliozama katika maji yenye baridi kali Tu sio kwa kuoga. Kama ni mshtuko wa moyo yes!, kwa maana ya ubrupt cooling viungo vya mwili vitasinyaa ghafla and vice versa!! In any case, awe muangalifu
 
wakuu kutokana na kukithiri kwa joto jijini dar nimekuwa nikioga maji ya baridi ambayo nimewekea mabonge ya barafu je hii inaweza kuwa na madhara kwny mwili wangu? wataalam msaada

,hypothermia is a condition not a disease, Ni hali ya viungo muhimu mwilini kuganda na kushindwa kufanya kazi,huwatokea watu waliozama katika maji yenye baridi kali Tu sio kwa kuoga. Kama ni mshtuko wa moyo yes!, kwa maana ya ubrupt cooling viungo vya mwili vitasinyaa ghafla and vice versa!! In any case, awe muangalifu

Nadhani muulizaji hakuuliza km atapata MARADHI! BALI alitaka kujua km atapata MADHARA!
hivi ni vitu viwili Tofauti kabisa.

And more over, Mshtuko wa moyo Pia SIO MARADHI bali ni Condition too!
Na sio lzm UZAME kwenye Maji Kuipata hio Hypothermia bali hata ukipigwa na Mvua kidogo tu na Hali upepo wa ubaridi ikakuingia basi kuna hatari ya Kukupata.

Hypothermia is caused by getting too cold as the body loses more heat than it can generate and the body temperature drops below 35°C (95°F).
Kwa tafsiri hii basi KUOGEA MAJI YA BARAFU kunaweza kushusha Joto lako la mwili kwa kasi sana na mapafu yako Kushindwa kupumua vizuri. Na kuleta madhara makubwa zaidi.

Ahsanta!
 
mmh aisee mimi ni nani nioge maji baridi usiku huu kama kuna ugonjwa wa Hypothermia nje nje. huwa sipendi kupingana na ushauri wa daktari.
 
Back
Top Bottom