wakuu kutokana na kukithiri kwa joto jijini dar nimekuwa nikioga maji ya baridi ambayo nimewekea mabonge ya barafu je hii inaweza kuwa na madhara kwny mwili wangu? wataalam msaada
Iko siku Utakuja ugua hypothermia utajuta KABISA kufanya Unachokifanya.
Wacha kabisa Mchezo huo..
Mwili wako hauhitaji maji ya Barafu Kua Cool down.
Na kuna Nafasi ndogo Huenda ukapata msukumo wa moyo (heart attack) usipochunga.
wakuu kutokana na kukithiri kwa joto jijini dar nimekuwa nikioga maji ya baridi ambayo nimewekea mabonge ya barafu je hii inaweza kuwa na madhara kwny mwili wangu? wataalam msaada
,hypothermia is a condition not a disease, Ni hali ya viungo muhimu mwilini kuganda na kushindwa kufanya kazi,huwatokea watu waliozama katika maji yenye baridi kali Tu sio kwa kuoga. Kama ni mshtuko wa moyo yes!, kwa maana ya ubrupt cooling viungo vya mwili vitasinyaa ghafla and vice versa!! In any case, awe muangalifu