Kuolewa na kuachwa kwa wazazi wako hiyo nayo ni ndoa ?

jompyain

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
29
Reaction score
9
Naomba kufahamishwa, kuwaninii ?waume wengine
waoapo wake wanawaacha kwa wakwe au kwa wazazi wake mke?
 
iyo itakuwa ni aina mpya ya ndoa
 
Makubwa hivi hiyo bado ipo. may be kwa wale wa kuleeeee kanda ya kaskazini!
 
mambo ya kizamani hayo! enzi zile hata baba na mama walikuwa hawalali chumba kimoja.
 
Kwa leo sizan kama yupo wa hivo. Labda kama ndoa ina matatizo wametengana kwa muda.
 
Naomba kufahamishwa, kuwaninii ?waume wengine
waoapo wake wanawaacha kwa wakwe au kwa wazazi wake mke?

Hao wa aina hiyo nafikiri hawajadhamiria kuwa na mke aisee au laa walilazimishwa, mi nikioa nakubeba saa hiyo hiyo!!!
 
Mmmh sidanganyiki na ndoa hii lazima tu tuondoke pamoja baada ya ndoa.
 
mambo ya kizamani hayo! enzi zile hata baba na mama walikuwa hawalali chumba kimoja.
hv kwanini walikuwa hawalali pamoja? malovee walikuwa wanafanya mida gani?
 
Wakitaka kutafuta mtoto. Nyie wa siku hizi ndo mnalikosea heshima tendo la ndoa...
 
Naomba kufahamishwa, kuwaninii ?waume wengine
waoapo wake wanawaacha kwa wakwe au kwa wazazi wake mke?

Kutojiandaa ipasavyo huchangia jambo hili. Kabla ya ndoa, ni vizuri mambo yote yakawa wazi/tayari, ujue mtaishi vipi, wapi, mna nini, nini kifanyike n.k. Wasichana wanapaswa kuhoji na sio kukimbilia ndoa.
 
Zaidi ya 50% ya ndoa zinahamasishwa na mimba zisizopangwa...
 
Back
Top Bottom