masanzu JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 605 Reaction score 217 Sep 20, 2014 #1 Hbr wanajamvi kuna ndugu yangu kaolewa na raia wa kigeni ambaye anaishi nchi kwa kibari kilicho isha mda wake na juzi katiwa mbaron yy na mme wake.je sheria kwa upande wake muolewaji inasemaje?
Hbr wanajamvi kuna ndugu yangu kaolewa na raia wa kigeni ambaye anaishi nchi kwa kibari kilicho isha mda wake na juzi katiwa mbaron yy na mme wake.je sheria kwa upande wake muolewaji inasemaje?
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,407 Reaction score 3,260 Sep 23, 2014 #2 Wote wana makosa kwa mujibu wa sheria ya uhamiaji Ni kosa kumuhifashi muhamiaji haramu Na nikosa kuishi nchini bila kibali kwa mgeni
Wote wana makosa kwa mujibu wa sheria ya uhamiaji Ni kosa kumuhifashi muhamiaji haramu Na nikosa kuishi nchini bila kibali kwa mgeni