Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Kwa sasa wimbi la wasichana wasioolewa ni wengi sana wengine ni bikira, wengine ni wajane, wengine ni mashankupe wengine ni vigagosi wengine ni mama huruma.nk
Suluhisho la haya yote ni kukubali uke wenza, yaani ukubali kuolewa mke wa pili au watatu au wanne na hapa ni wewe mwenyewe kuwa tayari tu ukishakuwa tayari hebu shirikisha wadau ktk group lako la dini uliopo au vikundi au hata watu unaowaheshimu au huyo kijana anakutaka kingono mwambie akuoe hata uke wenza wapo watu wengi ambao wako tayari kuoa mke zaidi ya mmoja maana hili litawapunguzia uzinzi nje ya ndoa.
Elewa ewe kijana hakuna mwanaume anayeridhika na mke mmoja hata siku moja ukiona yupo hebu mchunguze utagundua anao vinyumba ndogo vingi pembeni.
Mfano :Leo kijana akisafiri kikazi yupo tayari kule aendako azoe zoe kila malaya ili kujikidhi haja zake za kimwili ambapo ungeoa mke wako wa pili au wa tatu ukitaka kusafiri unasafiri nao kwa zamu.
Zinaa ina madhara matatu:
1.Inarithisha ufakiri
2.Inapunguza umri wa kuishi
3.Inaondoa haiba ya ubinaadamu
Kuolewa uke wenza sio aibu wala sio fedheha.bali zinaa au kuzaa nje ya ndoa ndio ushamba na aibu na fedheha.leo mwanamke akifika miaka 30 na zaidi yupo tayari kuomba apate mtu wa kumzalisha mtoto wakiwa hawajaoana lkn hayupo tayari kuomba kuolewa mke mwenza.uke wenza ni amani ni furaha.ni usasa .ndio kwenda na wakati wa sasa .
Maana ndio suluhisho la haya mambo katika jamii ni kuoa mke wa pili au watatu au wanne ndio zinaaa mijini na majijini itaisha au kupungua kabisa.