ukiona mwanaume anamfungulia mwanamke mlango wa gari hapo kuna mawili
> gari ni jipya au > demu mpya
Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,
Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,
Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,
Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?
Ni full raha, yaani raha.
Asante mume wangu.
hahaah! Monicca! kweli ndoa raha! vipi yule boss wako bado mko nae!Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,
Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,
Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,
Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?
Ni full raha, yaani raha.
Asante mume wangu.
Na kwa jinsi asilimia kubwa tulivyo zero vichwani, huyu ana wafuasi wengi wanaomsupport kwa kila upuuzi anaoufanya. Lakini kwenye mada za msingi za kufikirisha tunamwaga matusi tu!Waoaji wa zama hizi tuna taabu, 85% ya mabinti ni mapepe kupitiliza na hawafai kuwa wives/mothers. Kama kweli umeolewa huyo mumeo shughuli anayo.
Na kama unatafuta umaarufu si utupie picha za uchi tu, huu umaarufu wa jina fake we unakusaidia nini? Kuna tabia zingine ni ugonjwa na zahitaji msaada wa haraka wa wanasaikolojia.
Umesema kweli kbsa maana hata wewe umeongeza idadi yao.Na kwa jinsi asilimia kubwa tulivyo zero vichwani, huyu ana wafuasi wengi wanaomsupport kwa kila upuuzi anaoufanya. Lakini kwenye mada za msingi za kufikirisha tunamwaga matusi tu!
Mifumo ya elimu itazamwe upya sijui inatuwekea nini vichwani.
ngoja azoee papuche utaisoma nambaJamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,
Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,
Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,
Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?
Ni full raha, yaani raha.
Asante mume wangu.
Umeona eeh! Ndo mtulie ktkt kuchagua kwenu..sio mnajikurupukia tu mtakwenda na maji.Waoaji wa zama hizi tuna taabu, 85% ya mabinti ni mapepe kupitiliza na hawafai kuwa wives/mothers. Kama kweli umeolewa huyo mumeo shughuli anayo.
Na kama unatafuta umaarufu si utupie picha za uchi tu, huu umaarufu wa jina fake we unakusaidia nini? Kuna tabia zingine ni ugonjwa na zahitaji msaada wa haraka wa wanasaikolojia.
mimi namweka kwenye ignore list i cant stand this shit g byeWe monicca thread zako ntakua naangalia tu maana unataka kuandika novel humu kila siku chapter mpya.
ahahahahahahahaahaa..,daaaah umenifurahisha mkuuShahawa zake zimepoa?