Kuolewa SIO bahati...USIBAHATISHE!

Uzuri wa mtu haupo kwenye kuwa na mali ama kutokua na mali. Wapo wanaumbe wasio hata na uwezo wa kununua suruali ya tatu ila tabia zao haziwezi kumfanya mwanamke aone alibahatika kuolewa nae.
Unajua sikia nikueleze wanawake siku hizi hawafundwi. Unajua mwanaume ni kama Mbwa ukinfundisha anafundishika na kumfanya awe utakavyo. Tatizo wanawake hawataki kuwafundisha waume zao na wanataka mambo ya haki sawa ndio utakuta ungomvi kila siku.
"MWANAMKE MWENYE HEKIMA HUJENGA JUMBA YAKE LAKINI MPUMBAVU HUIBOMOA KWA MIKONO YAKE"

Tatizo wanawake wengi kichwa hamna, jinsi ya kuishi na wanaume wanataka wawe vibeberu.
 
sidhani kama kuna muoaji dunia ya sasa siku hzi tunaoana
 

Sentensi yako ya mwisho inabadilisha utaratibu wa kawaida kwani kuoa sio bahati bali kuolewa ndio bahati. Ufahamu kuwa wewe kuwa mwanamke sio maamuzi yako hivyo mambo yote yahusuyo mwanamke huwezi kuyabadilisha; hivyo kubali matokeo na ujumbe huu wapatie na wale wenzio wa kwenye women movement!!!!!
 
Duh sasa uwe na mwanamke ambaye humtamani?
Sura lazima ndio vitu vya ndani. Unajua kila mtu huwa na kitu anachovutiwa kwa mwanamke.

Sura ni kigezo muhimu sana, haswa ukipata mwenye Sura nzuri na tabia nzuri, dunia utaiona tamu. Lakini akiwa na sura mbovu sana na tabia nzuri ndi mwanzo wa nyumba ndogo.


Sababu ya mimi kuandika KIGEZO na sio vigezo ni kwamba naongelea wale wanaodanganyika na sura bila kuangalia vitu vingine. Matokeo yake ndio unakuta mtu anaacha mrembo nyumbani anaenda kuhangaika na nyumba ndogo mitaani.
 
sidhani kama kuna muoaji dunia ya sasa siku hzi tunaoana

Mwanaume anaoa na mwanamke anaolewa. Kuoa ni kuchukua mwichi na kutwanga ndani ya kinu, na kuolewa na kukinga kinu ili mwichi utwange. kinyume na hapo ni tatizo kubwa kwa wahusika!!
 


Mwanamayu, Hilo ni tatizo kubwa la wanawake wa sasa. Hawaoni mama wao walivyoishi vizuri na waume zao??.
Haki ya kijinsia lazima itambue utofauti wetu na majukumu yetu.
 

Kufundwa sio guarantee ya mtu kuweza kuyapokea anayofundishwa na kuyafanyia kazi.

Watu wanaopenda kujifunza wanajifunza kwa namna tofauti, sio lazima wafundwe (sijui ndio mnawekana ndani). . .
Na linapokujwa swala la kujenga ama kubomoa kiuhalisia mikono minne inahusika na sio miwili. Kama mwanaume hawezekani hata mwanamke afanye nini huyo mwanaume ataendelea kuwa Mr Hawezekani tu.Mwanaume anatakiwa ajue jinsi ya kuishi na mwanamke, na mwanamke jinsi ya kuishi na mwanaume.
 
Wewe kuwa mwanaume ni maamuzi yako? Mambo yahusuyo wanaume unaweza kubadilisha?

Naweza ni kawa ni mgumu kuelewa ila ngoja nikubali kwamba sijapata point yako.
 
Ni kumpata mtu atakae kuhemea kila siku ukiwa mtupu.

Ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, you made my day! Ila si kila siku mkuu,halafu je, tuseme mdada amehemewa mara mia ina maana aliolewa na wanaume mia??? lol....JF never boring aisee!
 
Chanzo cha migogoro mingi katika ndoa huwa ni wanawake hilo unasemaje?
Mwanaume jeuri can be handled by the woman aliye na elimu ya kuishi na mwanaume
But not for the woman to be handled by the man.
 
Chanzo cha migogoro mingi katika ndoa huwa ni wanawake hilo unasemaje?
Mwanaume jeuri can be handled by the woman aliye na elimu ya kuishi na mwanaume
But not for the woman to be handled by the man.

Nasema mwenye mawazo hayo aendelee kua nayo. . .haki anayo.
 
Nasema mwenye mawazo hayo aendelee kua nayo. . .haki anayo.
Kanuni iko hivi:
Mwamke amtii mme wake na mwanume ampende mke wake basi. kinyume na hapo ugomvi. Tatizo vidada havitaki kuwatii wanaume vinajifanya vijogoo jogoo.
Ndoa ni kanuni bana
 
Kanuni iko hivi:
Mwamke amtii mme wake na mwanume ampende mke wake basi. kinyume na hapo ugomvi. Tatizo vidada havitaki kuwatii wanaume vinajifanya vijogoo jogoo.
Ndoa ni kanuni bana

Again. . . What works for you is good for you. Kwahiyo kama wewe kanuni inayomtaka/lazimu mwanamke kushughulika peke yake kwenye mahusiano ndio inayokuongoza wewe, na inakusaidia basi stick to it.Haki unayo.
 
Again. . . What works for you is good for you. Kwahiyo kama wewe kanuni inayomtaka/lazimu mwanamke kushughulika peke yake kwenye mahusiano ndio inayokuongoza wewe, na inakusaidia basi stick to it.Haki unayo.
Aaah siyo kwamba mwnamke ndiye asimamie mambo yote but mwamke ndiye kiongozi wa mambo mazuri katika ndoa. Mwamke akiwa mpumbavu ndio ngumi hupingwa. Wote wanatakiwa kuhusika lakini kiongozi ni mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…