Ya kwanza wanadai mwanamke ndie anabahatika, mwanaume sijui anafanyaje.Mnisadie hili.
Je muoaji na muolewaji wamebahatishana? Ikimaanisha alieolewa kabahatika na aliyeoa kabahatika.
Na ule msemo ''kuolewa ni bahati, kupata mtoto/watoto majaliwa'' una uhalisia wowote??
Namshukuru mungu nilipata mke mtiifu na mwenye busara, nami nampenda sana. Anajua fika kuwa yeye ni Mke na anatambua kuwa mimi ni Mume. Nina furaha sana. Hii jamii ya wanawake wa leo , kadri wanavyoelimika, wanazidi changanyikiwa na kusahau maadili yao.
Kwa maana hiyo utasugua kisigino mpaka utacho. Utakopoelwa tu. Maana vitu vyote vinaenda sambambaKama mada yangu inavyosema KUOLEWA SIO BAHATI kwahiyo sipo kusubiria BAHATI YA KUOLEWA.
Mnisadie hili.
Je muoaji na muolewaji wamebahatishana? Ikimaanisha alieolewa kabahatika na aliyeoa kabahatika.
Na ule msemo ''kuolewa ni bahati, kupata mtoto/watoto majaliwa'' una uhalisia wowote??
Uwezi kuwa mwanaume kamwe na utaendelea kukojowa ukiwa umechuchumaa na utaendelewa kuzalishwa tu. Mwanamke alitoka ubavuni mwa mwanaume hili halina mjadala labda kama unataka kufurahisha baraza.Mambo ya kukubali na kukataa jinsia yametoka wapi? Kuna niliposema nataka kuwa mwanaume?
Kwa maana hiyo utasugua kisigino mpaka utacho. Utakopoelwa tu. Maana vitu vyote vinaenda sambamba
Mwamke anamtii mwanaume na mwanaume anampenda mwanamke tofauti na hapo utakimbiwa na wanaume wengi sana.
Uwezi kuwa mwanaume kamwe na utaendelea kukojowa ukiwa umechuchumaa na utaendelewa kuzalishwa tu. Mwanamke alitoka ubavuni mwa mwanaume hili halina mjadala labda kama unataka kufurahisha baraza.
Mimi nimemueleza mbishi sanaUwezi kuwa mwanaume kamwe na utaendelea kukojowa ukiwa umechuchumaa na utaendelewa kuzalishwa tu. Mwanamke alitoka ubavuni mwa mwanaume hili halina mjadala labda kama unataka kufurahisha baraza.
Utii sio ujinga au upumbavu soma signature yangu. sawa?Unavyong'ang'ania ntakimbiwa, fanya na maombi kabisa iwe kweli maana mpaka sasa bado haijawa kweli.
Alafu huyo mwanaume anaetaka kutiiwa kabla ya kupenda ndio inakuwaje? Nikikutana na mtu akiniambia njoo huku, fanya vile nafuata matakwa yake kuonyesha utii alafu ndo ananipenda au?
Mimi nimemueleza mbishi sana
Wewe kama umeolewa basi mumeo lazima awe na nyumba ndogo ya kwenda kumpumzika, maana hizi ligi zako wanaume lazima atafute pa kupunguza kero.Watu wengine bana. . .
Sasa aliyesema ni mwanaume au anataka kuwa mwanaume hapa nani??
OK ngoja niidanike hapaSiwezi kusoma signature yako.
Samahani sana kwa kushindwa kutii amri.
Nyie wanawake mnaotaka kuolewa na REAL MAN je. nyie ni REAL WOMEN, si vicheche.Wanawake siku hizi ni Gold digger, ndo maana mnaunga foleni kwa mwanaume mwenye fedha. Kwa nini mwanamke mwenye kipato hataki kuolewa na mwanaume asie na kipato?Kwanini mwanamke mwenye elimu hataki kuolewa na mwanaume mwenye elimu duni?wote wanataka wanaume wenye pesa au wenye elimu. wanawake amkeni, acheni kulalamika. Nina mfano, nina kazi na mshara mzuri tu wa graduate, nikawa na demu wangu nataka nimuoe, akaja mara ghafla nikasikia anaolewa na lijamaa la miaka 40, kisa tu lijamaa lina magari. sasa mwanamke kama huyo atakuwa amemchunguza hilo dume, je akija kuchakachuliwa ana haki ya kulalamika? Shame on you women who are after money. I need to marry but you women are dissappointing me!!!