Hali ya hewa nzuri ni ipi? Joto? baridi? wastani? Sidhani kama itakuwa rahisi kiasi hicho uking'ang'ania kubadilishana. Kama una vigezo si uombe uhamisho wa kawaida tu?Habari ma great thinker!Mimi ni mwalimu wa sekondari ya misalai iliyopo Amani katika halmashauri ya muheza hivyo nilikuwa naomba kubadilishana na mwalimu yeyote aliyopo katika halmashauri hizi Kibaha,kinondoni au Mbeya mjini.Naomba ushirikaano wenu kwani huku kuna hali ya hewa nzuri sana.contact 0778136785