Kuomba kuona unga polisi

krava

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
225
Reaction score
287
Je wana jf naomba kujua je ninaweza kwenda polisi kuomba kuuona unga live ili siku nikiuona live nikaripoti polisi

Yani kiufupi Mimi cjawahi kuuona sasa je naweza kwenda polisi nikaomba kuonyeshwa kihalali?
 
Mtafute Maknd au Masogng labda watakuonyesha wanaufahamu vizuri...
 
Je wana jf naomba kujua je ninaweza kwenda polisi kuomba kuuona unga live ili siku nikiuona live nikaripoti polisi

Yani kiufupi Mimi cjawahi kuuona sasa je naweza kwenda polisi nikaomba kuonyeshwa kihalali?

Nenda waambie unatumia ila hujui unaitwaje mpaka uone sample www.makonda.com
 
kama una uwezo wa kuwa na bundle ya kuingia JF, nenda you tube type cocaine utauona.
 
Polisi mbona mbali, we waulizie mateja unapouzwa. Nunua kete moja kisha nenda nayo home ukaichunguze vizuri
 
Coca chewing haina madhara ila wakishaifanya unga "crack" ndio inakuwa na madhara kwa sababu ya chemicals wanazotumia.
 
Kuuona si uende youtube, au unataka na wewe uuonje kdg..muone child benzuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…