Otman Moood
Member
- Jul 12, 2022
- 27
- 12
supportedKwa ufanisi zaidi ni bora uende internet cafe au utumie Pc maana kutumia simu inasumbua sana wakati mwengine page inakuwa kubwa ila space na uwezo wa simu unakuwa mdogo kiasi cha kushindwa kudisplay baadhi ya maandishi vizuri.
Smartphone unayo kwann ukatoe hela steshonar mze, scan documents zinazotakiwa weka kweny cm zikihitajika unaziattach kupitia cm, upande wa paspot kuna apps/webs zipo zinahusika kusize picha kwahiyo ni simpo tu, Fanya mwenyew kwa umakin kwa cm yako ila kama unahofia, ruksa kwenda kwenye PCHabarini na poleni kwa majukumu,
Naomba kuulza ivi kuomba mkopo wa elimu ya just Ni lazima niende internet cafe? Cwezi omba kwenye cmu in case issues zitazonilazimu Kama kuprint ndo niende stationary?