subilia tangazo kama hilo hapo chini, la 2014/2015Nafasi za Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Cheti Daraja A na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2013/2014.Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi anawatangazia Wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2012 na Kidato cha Sita mwaka 2013 kuwa muda wa kupokea maombi kwa ajili ya mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada mwaka wa masomo 2013/2014 umeongezwa mpaka tarehe 28/06/2013.
Sifa za mwombaji ni kama zilivyoainishwa katika tangazo la Wizara lililopo katika tovuti ya Wizara www.moe.go.tz linalohusu Nafasi za Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Cheti Daraja A na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2013/2014.Bofya hapaAidha, wahitimu wa kidato cha Sita kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka 2013 wanahimizwa kutuma maombi yao.Barua za maombi zioneshe Jina na anuani kamili ya mwombaji na kuambatisha nakala ya matokeo yake ya mtihani (wahitimu wa Kidato cha Nne 2012 na Kidato cha Sita 2013 waambatishe ukurasa wenye matokeo yao kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania Au kuonesha namba yake ya mtihani)
Maombi yatumwe kwa:-Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,S.L.P.9121,DAR ES SALAAM
Mimi naomba mnipe sifa za ufaulu kwa mwanafunzi anaweza kuchaguliwa kusomea ualimu hata kwa chuo private.
Asante sana gashambala uwezo, kwa taarifa yako. Ubarikiwe sana basi ngoja niwe nafanya follow up kwenye hiyo tovuti ya wizara mkuu.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
subilia tangazo kama hilo hapo chini, la 2014/2015Nafasi za Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Cheti Daraja A na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2013/2014.Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi anawatangazia Wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2012 na Kidato cha Sita mwaka 2013 kuwa muda wa kupokea maombi kwa ajili ya mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada mwaka wa masomo 2013/2014 umeongezwa mpaka tarehe 28/06/2013.
Sifa za mwombaji ni kama zilivyoainishwa katika tangazo la Wizara lililopo katika tovuti ya Wizara www.moe.go.tz linalohusu Nafasi za Mafunzo ya Ualimu Ngazi ya Cheti Daraja A na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2013/2014.Bofya hapaAidha, wahitimu wa kidato cha Sita kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka 2013 wanahimizwa kutuma maombi yao.Barua za maombi zioneshe Jina na anuani kamili ya mwombaji na kuambatisha nakala ya matokeo yake ya mtihani (wahitimu wa Kidato cha Nne 2012 na Kidato cha Sita 2013 waambatishe ukurasa wenye matokeo yao kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania Au kuonesha namba yake ya mtihani)
Maombi yatumwe kwa:-Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,S.L.P.9121,DAR ES SALAAM
Hilo tangazo lilikuwa mwisho 2013 we unaleta Leo...
Pathetic!!!
look my friend, ambacho mimi nimefanye ni kumuwekea mfano wa tangazo ambalo ni la mwaka,
jana asubilie , ndio maana nikaandika subilia tangazo la 2014/2015.
aidha natambua kuwa hilo ni tangazo ni la pili baada ya lile la kwanza, hili lilikuwa la kusogeza muda kwa waombaji
lakini nikajua fika aliye hitaji maelekezo kuhusu vyuo vya ualimu ataelewa tu.
who is pathetic??????????????????? you doesn't know what you are commenting here!
cannabis!!!
Tangazo bado, mda c mrefu watatoa
Kweli mkuu
Kweli mkuu
Kweli mkuu