Kuomba result transcript inachukua mda gani kuipata

Kuomba result transcript inachukua mda gani kuipata

bK698

Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
26
Reaction score
14
Habarini wana JF, naomba kufahamu, je Kwa wanafunzi waliomaliza kozi ya clinical medicine wakiomba result transcript inachukua mda gani kuipata Kwa wanaochukulia ofisi za nacte za kanda na wale wanaochukulia ofisi kuu dar? Nawasilisha
 
Back
Top Bottom