Kuomba udhamini

Yusuph p. Kisunzu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
120
Reaction score
9
Mimi naitwa Yusuph Peterson niko ktk chuo cha Tabibu Wasaidizi Kigoma CATC naomba msaada wa Kudhaminiwa kulipiwa ada Kwa muda wote wa masomo yaani miaka miwili nimelipa km robo tatu ya mwaka wa kwanza naomba wa kujitolea kunisaidia au Anayejua wa kutoa msaada anidokeze ili nifanye mchakato wa kuomba msaada. NITASHUKRU.
My contacts: 0763631449 0762785389
Email: mimiyp1@gmail.com
 
Kujaribu kwa namna gani kwani wanaweza wakakusponse kiasi kwamba km huna kitu kabisa wanaweza wakakusaidia?
 
Umebugi men! kwa wa TZ labda uombe mchango wa harusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…