Kuomba ufafanuzi Magari ya mizigo kuwa na number plate ya njano

Kuomba ufafanuzi Magari ya mizigo kuwa na number plate ya njano

Bitoz Jobiso

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
925
Reaction score
1,202
Habari
Magari ya mizigo number plate zao ni njano je kwenye kadi huwa zinaandikwa private au huwa unabadilisha kuwa commercial lakini number plate inabaki ya njano na kama linaingia private kwenye kadi unalipaje mapato au huwa hayalipiwi au unabadilisha kwenda commercial ndio unalipia mapato lakini number plate inabaki vile vile ya njano
 
Habari
Magari ya mizigo number plate zao ni njano.

Je kwenye kadi huwa zinaandikwa private au huwa unabadilisha kuwa commercial lakini number plate inabaki ya njano na kama linaingia private kwenye kadi unalipaje mapato au huwa hayalipiwi au unabadilisha kwenda commercial ndio unalipia mapato lakini number plate inabaki vile vile ya njano
 
Pickup na trucks zote huwa NI kwa akili ya commercial plate no huwa ya njano....ukibadili matumizzi card hubadilika tu kuwa private Ila plate no huwa njano...Ila wagon saloon na hatchback zenyewe hujulikana kwa matumizi mchanganyiko plate no za biashara huwa nyeupe na zinatakiwa kuwa na reflator nyekundu nyuma ubavuni njano na mbele nyeupe...hapo NI ikiwa ya biashara lakini gari takes hapo juu zikiwa private. Hakuna haha ya reflator ubavuni ama mbele na plate no huwa njano...kwa ajili ya utambuzi na usalama wa abiria na mizigo
 
Kwa hiyo kama ni canter jipya limesajiliwa kama private ukienda kukatia mapato/makadirio TRA lazima Ile kadi uibadilishe kadi kuwa commercial ila number plate itabaki vile vile ya njano si ndio mkuu
 
Back
Top Bottom