Pickup na trucks zote huwa NI kwa akili ya commercial plate no huwa ya njano....ukibadili matumizzi card hubadilika tu kuwa private Ila plate no huwa njano...Ila wagon saloon na hatchback zenyewe hujulikana kwa matumizi mchanganyiko plate no za biashara huwa nyeupe na zinatakiwa kuwa na reflator nyekundu nyuma ubavuni njano na mbele nyeupe...hapo NI ikiwa ya biashara lakini gari takes hapo juu zikiwa private. Hakuna haha ya reflator ubavuni ama mbele na plate no huwa njano...kwa ajili ya utambuzi na usalama wa abiria na mizigo