permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake na makisio ya bei yake.