P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 May 3, 2024 #1 Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake na makisio ya bei yake. Attachments 20240503_073717.jpg 2.1 MB · Views: 3 20240503_073621.jpg 2 MB · Views: 4 20240503_073608.jpg 1.8 MB · Views: 3
Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake na makisio ya bei yake.