Nenda kwa afisa elimu wa mkoa wako then mweleze sababu ya kuomba uhamisho. Na mueleze shule ambayo ungependekeza kuhamia....atakupa barua ya kupeleka katika shule mpya na watakupa join instructions letter kujua hali iko vipi
Pia ukikubaliwa uhamisho wasiliana na mkuu wa shule yako uliyopangwa awali atume selform yako kwa shule mpya..