Riziki Omary
Member
- Oct 9, 2020
- 5
- 4
Kaka asante sana hii comment yako naifanyia laminationWell, kwenye aina nzuri ya canter nakushauri uchukue canter box yenye Engine ya 4d33 ya top cover jembamba, engine hizo ni imara sana na zina nguvu kibongo bongo inabeba hadi tani 5, pia spea zake zipo.
Ukienda kununua gari used kwanza kabisa angalia budjet yako kama inatosha upate gari ipi, unaweza ukanunua body alafu ukanunua engine separate ukaja kuivalisha ukapata gari nzuri... Au unanunua gari ambayo ipo full, ambapo utaangalia body iwe nzur, ubora wa engine, angalia gearbox na dif kama hauelewi nenda na fundi pia cha muhimu hio gari kama ilikuwa inatumika kibiashara nenda TRA na mmiliki wakutolee tax clearance ili usije ukauziwa gari yenye madeni ya kodi za mapato. Pia na LATRA nenda ujue kama hio gari inakubalika kupata kibali au kama inacho kibali, kagua na madeni ya polisi kupitia plate number nk..
njia nzuri ya kuifanya biashara hii unaweza kwanza kufanya uchunguz kwa wazoefu wa hio kaz ili wakuelezee ikoje pia tafuta dereva atakayeweza kukupa michongo ya kupata kijiwe kizur cha kaz.
Kununua canter used unaweza chagua ununue gari full au ununue body alafu ukanunua engine gearbox ukavisha yoote ni maamuzi yako. Ila kama unataka gari full uwe angalau kuanzia Milion 22 na kitu,,, au ukanunua mashine 4d33 ya Milion 11.5 alafu ukanunua body Milion 6-8 ukavisha ukapata gari nzuri kwa milion 20...
Anyway nimekupa experience yangu ya maswali uliyouliza i hope nimekufumbua macho kiasi.
Bwana G_Kanakafumu inaonekana we ni mjuzi wa haya mambo, naomba pia uniongezee ufahamu.Well, kwenye aina nzuri ya canter nakushauri uchukue canter box yenye Engine ya 4d33 ya top cover jembamba, engine hizo ni imara sana na zina nguvu kibongo bongo inabeba hadi tani 5, pia spea zake zipo.