Kuomba ushirikiano wa kujaza dodoso ili kukamilisha masomo yake ya shahada ya uzamili

mswati wa tz

Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
34
Reaction score
16
Kwa wale wajasiriamali wadogo na wakati wanaotumia mitandao ya kijamii kwenye biashara, naomba ushirikiano wenu kwenye kujaza dodoso langu hapa chini. Litachukua dakika 3 tu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu [emoji120]
 
'win win situation' inakuwaje hapo mkuu?au ndio ile Mungu atakubariki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…