Kuomba vyuo vya elimu na afya ni lini kwa mwaka huu 2014?

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Naomba mnijuze kama wizara ya elimu na ya afya zimetoa matangazo,na deadline ni lini kwa sababu mdogo wangu kapata 3.30 anaweza kupata nafasi kweli?
 
Kwa upande wa ualimu nafikiri hao walio chuoni wakihitimu walimu watakuwa wakutosha.Labda ni sababu ya kimya cha wizara hiyo.
 
Naomba mnijuze kama wizara ya elimu na ya afya zimetoa matangazo,na deadline ni lini kwa sababu mdogo wangu kapata 3.30 anaweza kupata nafasi kweli?

muhimbili nao waliishatoa !
Aliweka tangazo hapa njunwa wamavoko !

Sikumbuki vizuri ningekuwekea link
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…