Kuonana na P.Didy ndiko kulikompa kichwa Diamond na kupata ndoto ya kuwa "Tajiri Namba 1 Duniani"

Body language inazungumza mambo mengi Sana.

Wanasema Wakati mdomo unaposhindwa kuzungumza Jambo Fulani au kuficha Mwili huzungumza Kwa dhahiri Kabisa

Wataalamu wa lugha wanakuambia zaidi, Kile mdomo unachozungumza ni 20% ya kilichotakiwa kuzungumzwa ila Mwili Unazungumza Kwa 80%
 
FB_IMG_17271992954697547.jpg
 
Malengo yake ya kuwa tajiri no 1 kaongea hivi karibuni hiyo clip ni ya muda mrefu alienda kwa Pdidy na crew nzima ya wasafi ikiwemo managers wake Sallam sk na Babu Tale sema ni kwasababu scandal ya Pdidy inavuma sasa hivi ndio maana watu wakafukua hilo clip but kwa kipindi kile wala haikutrend wakati anahojiwa
 
Kuwa tajiri namba moja duniani si jambo la mchezo mchezo.

Angalau Ukishaweza kuwazidi hela kina Dangote ndio uanze kujiweka kwenye level za matajiri wakubwa duniani.

Na hapo bado hata top 20 haupo.
Na changamoto kibao utapitia za kila aina
 
Lakini sasa itakuwaje? Maana mentor tayari yameshamfika shingoni huko Marekani!

View attachment 3106101

Yes, when you sale your soul to the devil...what do you expect? Na jamaa kuwavunja bikra was a commitment to his pact to the devil.
Imagine haya yanaibuka na kuangusha miamba ya miamba ya muziki
 
Body language inazungumza mambo mengi Sana.

Wanasema Wakati mdomo unaposhindwa kuzungumza Jambo Fulani au kuficha Mwili huzungumza Kwa dhahiri Kabisa

Wataalamu wa lugha wanakuambia zaidi, Kile mdomo unachozungumza ni 20% ya kilichotakiwa kuzungumzwa ila Mwili Unazungumza Kwa 80%
Kwa hio na wewe una pigia __________ kwamba ame 🍼 nyuma si ndio?
 
Body language inazungumza mambo mengi Sana.

Wanasema Wakati mdomo unaposhindwa kuzungumza Jambo Fulani au kuficha Mwili huzungumza Kwa dhahiri Kabisa

Wataalamu wa lugha wanakuambia zaidi, Kile mdomo unachozungumza ni 20% ya kilichotakiwa kuzungumzwa ila Mwili Unazungumza Kwa 80%
Kweli kabisa!
 
Back
Top Bottom